IQNA

Haki za Binadamu za Kiislamu na Kutukuzwa Mwanadamu

Na hakika tumewatukuza wanaadamu, na tumewapa vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri vizuri, na tumewafadhilisha kwa fadhila kubwa kuliko wengi miongoni mwa tulio waumba. Sura Al Israai, Aya ya 70

Haki za Binadamu za Kiislamu na Kutukuzwa Mwanadamu