IQNA - Mvulana mwenye umri wa miaka 15 anayeitwa Islam amesifiwa baada ya kuokoa zaidi ya watu 100 wakati wa shambulio la kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha mjini Moscow siku ya Ijumaa.
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
IQNA – Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yanaendelea katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini (MA) na yalizinduliwa Jumatano Machi 20 huku yakitazamiwa kuendelea kwa muda wiki mbili.
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 27 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai ambayo hujulikana rasmi kama Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) zilifanyika katika mji wa UAE Jumamosi jioni.
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
IQNA- Kipindi cha Televisheni cha Mahfel Msimu wa Pili kilianza kuonyeshwa Machi 12 sambamba na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kanali ya 3 ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB)