IQNA

Televisheni ya ‘Ahlul Bayt AS’ yaanzishwa Nigeria

16:33 - November 22, 2010
Habari ID: 2035859
Kanali ya Televisheni ya Kiislamu ya ‘Ahul Bayt AS’ imeanzisha nchini Nigeria sambamba na sherehe za Idul Adha.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Independent, kanali hii imeanzishwa kwa lengo la kuelimisha jamii kubwa ya Waislamu nchini Nigeria. Kanali hii ilianza kurusha matangazo yake hewani katika Sikukuu ya Idul Adh'ha ambapo kulikuwa na vipindi vya kielimu na burudani.
Kanali hii ya televisheni itakuwa ikirusha matangazo ya Kiislamu kwa muda wa masaa 24 kwa siku.
Wakuu wa Nigeria wamesema wafuasi wa dini zote watapewa vibali vya kuanzisha kanali binafsi za televisheni.
699168
captcha