IQNA

Jumba la Makumbusho la Sanaa za Kiislamu la Doha

mji mkuu wa Qatar lina athari za Kiislamu za kuanzoa miaka 1400 iliyopita kutoka mabara matatu. Jumba hilo la makumbusho ni dafina ya turathi za maeneo mbali mbali ya ulimwengu wa Kiislamu.