IQNA

Tilawa (usomaji) ya aya za Sura ya Aal Imran kwa sauti ya Sheikh Mohammad Abdulrahman Ghazali, qarii mashuhuri wa Malaysia. Tilawa hii ambayo inasambazwa kwa mara ya kwanza ni ya mwaka 1980 katika msikiti wa Masjid Al-Rifa'i mjini Cairo.