IQNA

Kikao cha kuchunguza uwezekano wa kutekelezwa au kutotekelezwa 'Muamala wa Karne' kimefanyika Jumatano 26 Juni na kuhudhuriwa na Nassir Abu Sharif, Mjumbe wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina