IQNA

Washindi wa Mashindano ya Qurani Oman watunukiwa zawadi

18:56 - December 28, 2019
Habari ID: 3472310
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindani ya 29 ya Qur'ani ya Sultan Qaboos wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Masikiti wa Sultan Qaboos katika Wilaya ya Basusher nchini humo.

Akihutubu katika sherehe za kuwatunuku zawadi washindi, Habib bin Mohammed al Reyami, Katibu Mkuu wa  Kituo cha Sutlan Qaboos cha Sayansi na Utamaduni amesema mashindano hayo yalifanyika kwa mara ya kwanza miaka 29 katika vituo vichache lakini sasa yameimarika na yanafanyika katika vituo vingi kote Oman.

Akizungumza katika hafla hiyo, Sheikh Dkt. Kahlan bin Nabhan al Kharousi, Naibu Mufti wa Oman alisema mashindano hayo yanalenga kuhimiza ufahamu wa Qur'ani Tukufu ili waweze kutekeleza maamurisho yake katika maisha.

https://iqna.ir/en/news/3470192/oman-quran-competition-winners-awarded

3470192

captcha