IQNA

Theluji nadra yanyesha katika Mji wa Quds na kubadilisha mandhari

17:04 - February 20, 2021
Habari ID: 3473666
TEHRAN (IQNA)- Mji Mtakatifu wa Quds (Jerusalem) umeshuhudia tukio nadra ya mvua ya theluji Alhamisi.

Theluji hiyo ilisambaa katika eneo lote la Msikiti wa Al Aqsa na Qubbat aṣ-Ṣakhra na kuwavuatia waumini ambao wengine wameonekana kusujudu kama njia ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kutokana na neema hiyo.

 

 

Kishikizo: al aqsa theluji
captcha