IQNA

Watu warejea katika mitaa ya Myanmar huku ukandamizaji ukiendelea

16:29 - March 02, 2021
Habari ID: 3473697
TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa miji mbali mbali ya Myanmar wanaendelea kuandamana kulalamikia mapinduzi ya kijeshi mwezi uliopita. Wanajeshi nao wanaendelea kuwakandamiza waandamnaji.

 

 
 
captcha