Ili kukidhi mahitaji ya hamu hiyo, Jumba la Makumbushi ya Sanaa za Kiislamu Malaysia, ambalo ni jumba kubwa zaidi la sanaa za Kiislamu Kusini -Mashariki mwa Asia, lilizinduliwa mwaka 1998. Kati ya vitu vya thamani katika maonyesho hayo ni sanaa za mikono zenye thamani kutoka Iran kama tunavyoshuhudia katika klipu na picha hapa chini.