IQNA

Silaha za nyuklia ni haramu katika Uislamu

Silaha za nyuklia ni haramu katika Uislamu

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza msimamo imara na wa kishujaa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na uharamu wa kutumia bomu la nyuklia na kusema kuwa: Iran haiwekezi kwa ajili ya kutengeneza na kutunza bomu ya nyuklia.
21:41 , 2019 Oct 09
Muuza  mihadarati wa zamani ahifadhi Qur'ani kikamilifu

Muuza mihadarati wa zamani ahifadhi Qur'ani kikamilifu

TEHRAN (IQNA) - Muuza mihadarati wa zamani nchini Uturuki ambaye hadi sasa ametumikia kifungo cha mwaka moja na nusu gerezani amewafnaikiw akuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
10:41 , 2019 Oct 08
Muungano wa Iran na Iraq unazidi kuimarika

Muungano wa Iran na Iraq unazidi kuimarika

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu usiku wa kuamkia Jumatatuametuma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter kuhusiana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq akisisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya mataifa ya Iran na Iraq.
17:21 , 2019 Oct 07
Iran kusambaza nakala 3,000 za Qurani za Braille kwa wenye ulemavu wa macho

Iran kusambaza nakala 3,000 za Qurani za Braille kwa wenye ulemavu wa macho

TEHRAN (IQNA) – Wenye ulemavu wa macho katika Jamhuri ya Kiislamu ya Irana watakabidhiwa nakala maalumu za Qur'ani zilizoandikwa kwa maandisi ya Nukta Nundu ama Braille.
16:52 , 2019 Oct 07
Shule iliyopewa jina la Mohammad Salah yafunguliwa Misri

Shule iliyopewa jina la Mohammad Salah yafunguliwa Misri

TEHRAN (IQNA)- Shule ya upili imefunugliwa Misri na kupewa jina la mcheza soka mashuhuri wa nchi hiyo, Mohammad Salah.
13:24 , 2019 Oct 05
Utulivu warejea Baghdad, Iraq baada ya ghasia

Utulivu warejea Baghdad, Iraq baada ya ghasia

TEHRAN (IQNA) – Utulivu umerejea katika mji mkuu wa Iraq Baghdad, baada ya machafuko ya siku kadhaa.
17:41 , 2019 Oct 04
Jeshi la Israel lilikaribia kuangamizwa katika vita vya siku 33

Jeshi la Israel lilikaribia kuangamizwa katika vita vya siku 33

TEHRAN (IQNA) - Meja Jenerali Qassem Suleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amefanya mahojiano kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 na kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu vita vya siku 33 vya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, na utawala wa Kizayuni wa Israel.
09:53 , 2019 Oct 03
Iran itaendelea kupunguza ahadi zake JCPOA, Marekani imefeli

Iran itaendelea kupunguza ahadi zake JCPOA, Marekani imefeli

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kufeli siasa za Marekani za kuiwekea Iran mashinikizo ya juu zaidi na kutosalimu amri Tehran mbele ya mashinikizo hayo ya mfumo wa kibeberu na kusisisitiza kuwa, Iran itaendelea kwa nguvu zote kupunguza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA hadi itakapofikia lengo lililokusudiwa.
20:32 , 2019 Oct 02
Uturuki, Pakistan, Malaysia kuanzisha TV ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu

Uturuki, Pakistan, Malaysia kuanzisha TV ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu

TEHRAN (IQNA) – Viongozi wa Uturuki, Pakistan na Malayasia wametangaza azma yao ya kuanzisha televisheni kwa lugha ya Kiingereza kwa lengo ka kukabiliana na wimbi la chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
11:49 , 2019 Oct 01
Al Azhar kutumia mbinu ya kielektroniki kufunza kuhifadhi Qur'ani Tukufu

Al Azhar kutumia mbinu ya kielektroniki kufunza kuhifadhi Qur'ani Tukufu

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetangaza mpango wa kuwawezesha vijana kuhifadhi Qur'ani Tukufu kwa kutumia programu ya kompyuta inayojulikana kama 'Kitabu cha Kielektroniki'.
19:09 , 2019 Sep 30
Msikiti mkubwa zaidi Afrika Magharibi wafunguliwa Senegal + Picha

Msikiti mkubwa zaidi Afrika Magharibi wafunguliwa Senegal + Picha

TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu kutoka kote Senegal walijumuika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Dakar, Ijumaa iliyopita kushuhudia kufungulwia rasmi msikiti ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi katika eneo la Afrika Magharibi.
17:09 , 2019 Sep 29
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran kufanyika Mashhad

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran kufanyika Mashhad

TEHRAN (IQNA) – Mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamepangwa kufanyika katika Mji Mtakatifu wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa nchi.
16:47 , 2019 Sep 28
Iran, nchi ya mismu mine, pepo ya utalii

Iran, nchi ya mismu mine, pepo ya utalii

Tarehe 27 Septemba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hujuiunga na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Utalii.
16:33 , 2019 Sep 28
Kwa nini Bin Salman amekubali kubeba lawama ya mauaji ya Khashoggi?

Kwa nini Bin Salman amekubali kubeba lawama ya mauaji ya Khashoggi?

TEHRAN (IQNA) - Baada ya kupita karibu mwaka mmoja tangu mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman amekana kuhusika na mauaji hayo lakini amekubali kubeba dhima na lawama zake.
07:25 , 2019 Sep 28
Wasudan walaani mpango wa serikali ya mpito kuanzisha uhusiano na Israel

Wasudan walaani mpango wa serikali ya mpito kuanzisha uhusiano na Israel

TEHRAN (IQNA) - Vyama vya Kiislamu nchini Sudan vimelaani mpango wa serikali ya mpito ya nchi hiyo wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
23:21 , 2019 Sep 27
2