Msikiti huu ni kati ya misikiti yenye mvuto Jeddah na aghalabu ya wanaoswali hapo ni Waislamu kutoka mashariki mwa Asia.
Msikiti huo una ukubwa wa mita mraba 2,400 na hutumbelewa sana na wanoafika Saudia kwa ajili ya Ibada za Hija na Umrah. Usanifu majengo wake ni mchanganyiko wa mbinu za kale na za kisasa.