IQNA

Waislamu kote duniani walaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW na chuki dhidi ya Uislamu

21:08 - October 28, 2020
Habari ID: 3473305
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kuchapishwa katuni zinazommvunjia heshima Mtume Muhammad SAW nchini Ufaransa na baada ya hapo matamshi ya Rais Macron wa nchi hiyo kutoa matamshi yenye chuki dhidi ya Uislamu, Waislamu kote duniani wameandamana kulaani vitendo hivyo huku wakiitaka bidhaa za Ufaransa zisusiwe.
 
 
captcha