IQNA

Jumba la Makumbusho la Qur’ani Tukufu Tabriz + Video

TABRIZ (IQNA)- Jumba la Makumbusho la Tabriz liko katika Msikiti wa Sahib ul Amr magharibi mwa Iran.

Jumba hilo la makumbusho lina mjumuiko nakala za kale na za kihistoria za misahafu iliyoandikwa kwa mkono na pia athari nyinginezo za kale za Kiislamu.