Wasichana Wanaojifunza Qur'ani katika kambi za wakimbizi za Gaza pamoja na kuwepo vita
IQNA - Wasichana ambao wamekimbia makazi yao pamoja na familia zao kutokana na vita vya mauaji ya kimbari vya Israel katika Ukanda wa Gaza wanaendelea kujifunza Qur'ani Tukufu kwenye mahema katika kambi za wakimbizi licha ya hali ngumu wanayokabiliana nayo.