IQNA

Rais atembelea Haram ya Bibi Maasuma (SA) jijini Qum, akutana na wanazuoni wakuu wa Kiislamu

IQNA - Rais wa Iran Masoud Pezeshkian alisafiri hadi mji mtakatifu wa Qom siku ya Alhamisi, Oktoba 31, 2024, kutembelea Haram takatifu ya Hazrat Maasuma (SA) na kukutana na wanazuoni wakuu wa Kiislamu wakiwemo Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, Ayatullah Hossein Nouri Hamedani, Ayatullah Jafar Sobhani na Ayatullah Nasser Makarem Shirazi.