IQNA

Picha: Kiongozi Muadhamu Ayatullah Ali Khamenei akutana na washiriki wa Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Iran ya 2025

IQNA – Washiriki, waandaaji, na wajumbe wa jopo la waamuzi wa Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran walikutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, siku ya Jumapili Februari 2, 2025.