Mkutano wa waandishi wa habari wa Kongamano la 40 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu
IQNA – Katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika Tehran tarehe 24 Agosti 2026, katibu mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu alieleza kwa kina programu za Kongamano la 40 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu, litakalofanyika nchini Iran mwishoni mwa Agosti.
copied
https://iqna.ir/H0Ec0E