Mkusanyiko wa waandishi wa kaligrafia ya Kiislamu wa kundi la ‘Muhammadi’ wafanyika Isfahan
IQNA – Sambamba na maadhimisho ya Maulid au kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW), Mkusanyiko wa Waandishi kaligrafia wa Hati za Kiislamu wa “Muhammadi” ulifanyika Jumatatu jioni, Agosti 31, 2026, katika Jumba la Makumbusho ya Sanaa ya Kisasa la Isfahan, nchini Iran kwa ushiriki wa kundi la waandishi mahiri wa hati za Kiislamu (Khattat) wa Iran.
copied
https://iqna.ir/H0Ec0n