IQNA

Kisomo cha ‘Mahdi Shayeq’ katika kikao cha mashauriano cha Wasomaji wa Kimataifa wa Qur’ani Tukufu (+ Video)

IQNA – Mzunguko wa kikao cha kisomo na mashauriano ya pamoja ya wasomaji (maqarii) wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu nchini Iran umefanyika, ukiwa umepambwa kwa jina na kumbukumbu ya Kiongozi Shahidi wa Qur’ani, huku ukipambwa na kisomo chenye mvuto cha Qarii wa kimataifa Mahdi Shayeq.