IQNA

Kongamano la Kimataifa kuhusu Maandishi ya Kale ya Qur’ani lafanyika Indonesia

IQNA – Kongamano la kimataifa lenye kichwa “Maandishi ya Kale ya Qur’ani na Nafasi Yake katika Historia ya Qur’ani Tukufu: Mafunzo kutoka Mus-haf wa Mashhad” limefanyika mjini Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, likihudhuriwa na takriban maprofesa na watafiti 200 wa taaluma za Qur’ani, akiwemo ujumbe kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
.