iqna

IQNA

arbaeen
Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni zoezi la kimaanawi la aina yake na lisilo na mfano.
Habari ID: 3477604    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15

Arbaeen 1445
KARBALA (IQNA) – Watoto kadhaa wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali wanaonyesha ujuzi wao wa kusoma Qur'ani Tukufu wakiwa wanashiriki katika maandamano ya mwaka huu ya Arbaeen.
Habari ID: 3477550    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/05

Arbaeen 1435
TEHRAN (IQNA) – Mtazamo wa muono wa mbali wenye kuainisha mwelekeo kwa safari ya kidini au Ziara ya Arabeen ni muhimu sana.
Habari ID: 3477537    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02

Msafara wa Qur'ani wa Noor ulifanya mikutano mingi ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwenye njia (Masir)ya kutembea ya Arbaeen 1444 kutoka Najaf hadi Karbala.
Habari ID: 3477528    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Arbaeen 1435
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa Arbaeen ni kwamba lazima tujitahidi katika njia ya haki na kuhuisha ukweli katika hali zote.
Habari ID: 3477523    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/30

Arbaeen 1445
KARBALA (IQNA) – Kongamano la kwanza la wanaharakati katika uwanja wa Elimu ya Kiislamu litafanyika katika mji mtakatifu wa Karbala wakati wa msimu wa Arabeen.
Habari ID: 3477499    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/26

Arbaeen 1445
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya waandishi wa habari 600 kutoka nchi mbalimbali wataangazia matukio yanayohusiana na matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen nchini Iraq.
Habari ID: 3477484    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24

Arbaeen 1445
BAGHDAD (IQNA) – Wasimamizi wa Haram Takatifu Imam Ali (AS) huko Najaf na Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq wametangaza mipango ya kuwahudumia wanaozuru maeneo mawili matakatifu wakati wa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3477481    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22

Arabeen 1445
TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya watu kutoka duniani kote wanaelekea katika tukio la kila mwaka la Arbaeen, ambalo linaweza kuongeza ufahamu wa kimataifa wa madhehebu ya Kiislamu ya Shia kama vyombo vya habari vya kawaida vitaamua kufanya hivyo.
Habari ID: 3477468    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20

Harakati ya Imam Hussein (AS)
KARBALA (IQNA) – Ziara ya kidini ya kila mwaka ya Arbaeen ambayo ni safari muhimu ya kidini ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na wale wote wanaoguswa na harakati adhimu ya Imam Hussein (AS), imeanza kutoka eneo la kusini mwa Iraq.
Habari ID: 3477423    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/12

Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa toleo la 8 la Tuzo la Kimataifa la Arbaeen walitangazwa na kutunukiwa katika sherehe hapa Tehran siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3476523    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/06

Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) -Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wameshiriki katika marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3475801    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa ushiriki wa wafanyaziara wa Kiislamu wapatao milioni 20 katika matembezi ya Arbaeen nchini Iraq mwaka huu ni muujiza.
Habari ID: 3475799    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni muujiza wa Mwenyezi Mungu na moja ya madhihirisho na vielelezo vya umoja wa Waislamu na akasisitiza kuwa: Ashura ingali hai na itaendelea kuwa hai.
Habari ID: 3475798    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yao-.
Habari ID: 3475797    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17

Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Gavana wa Karbala, Iraq ametangaza kuwa, wafanyaziara kutoka nchi 80 katika maadhimisho ya mwaka huu za Arbaeen mwaka huu wa 1444 Hijria Qamari sawa na 2022 Miladia.
Habari ID: 3475792    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya Waislamu wako katika safari ya kuelekea kwenye haram tukufu ya Imam Hussein (AS), ili kuonyesha mapenzi na kujitolea kwao kwa mjukuu kipenzi wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475787    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15

Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq (PMU) kimegundi maroketi katika mji mtakatifu wa Karbala wakati siku ya Arbaeen inapokaribia huku idadi kubwa ya wafanyaziara wakiwa wamekusanyika kwenye mji huo mtakatifu.
Habari ID: 3475775    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13

Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yamewekwa kwenye barabara kati ya miji mitukufu ya Najaf na Karbala nchini Iraq wakati wa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3475761    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10

Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) – Idara ya afya ya mkoa wa Karbala nchini Iraq imezindua mpango maalum wa afya kwa ajili ya maombolezo ya Arbaeen ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3475739    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05