iqna

IQNA

uislamu
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA)- Russia imetangaza kwamba inajitahidi kuandaa taarifa ya kimataifa katika Umoja wa Mataifa ya kulaani vitendo vyote kudhalilishwa au kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na Uislamu, mwanadiplomasia wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3478001    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07

Uislamu ni chaguo langu
KANO (IQNA) - Mwanamke wa Bulgaria mwenye umri wa miaka 62, Liliana Mohammed, amefikia ndoto yake ya kujifunza Qur'ani Tukufu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya miaka 30.
Habari ID: 3477993    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06

Uislamu na Mazingira
DUBAU (IQNA) – Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema kuna aya nyingi katika Qur'ani Tukufu zinazowaalika watu kuheshimu mazingira.
Habari ID: 3477992    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05

Hija katika Uislamu /4
TEHRAN (IQNA) – Hija ni safari ya upendo, ni safari ya mapenzi ya mwanadamu kwa Mwenyezi Mungu. Hii ndio sababu waja wengi wema wa Mwenyezi Mungu hupendelea kuenda kwa miguu hadi katika mji mtakatifu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3477844    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05

TEHRAN (IQNA) – Neno Zaka limetumika ndani ya Qur’ani Tukufu mara 32 na Kitabu kitukufu kinataja matokeo mbalimbali ya kutoa Zaka.
Habari ID: 3477755    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewaalika watu kuhiji na kuwabariki mahujaji fursa ya kuitembelea nyumba yake.
Habari ID: 3477747    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

BEIRUT (IQNA) - Naibu katibu mkuu wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon alisisitiza uungaji mkono wa mapambano kati ya watu katika nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477743    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

TEHRAN (IQNA) – Moja ya faida za Uislamu ni kwamba uchumi wake umechanganyika na maadili na hisia, kama vile siasa zake zinavyochanganyika na dini.
Habari ID: 3477742    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

Waislamu Ulimwengu wa Magharibi
Tuzo ya Heshima ya Mfalme nchini New Zealand mwaka huu imekabidhiwa Maysoon Salama, mwalimu wa Kiislamu, mwandishi, na kiongozi wa jamii, kwa huduma zake za elimu na jamii ya Kiislamu.
Habari ID: 3477113    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07

Kuenea Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Daktari huyu Mfaransa aliyekuwa akiishi Morocco na mji wa "Al-Nazour" kwa muda mrefu aliamua kutangaza kusilimu kwake.
Habari ID: 3477112    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07

Afisa wa HIzbullah
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa vuguvugu la muqawama la HIzbullah la Lebanon alisema Hijab inawapa wanawake wa Kiislamu utambulisho na mamlaka.
Habari ID: 3477092    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03

Elimu
TEHRAN (IQNA) – Mtafiti wa historia ya Uislamu amesifu kazi za "thamani" i za mwanazuoni wa Kijerumani-Muingereza Wilferd Madelung aliyefariki hivi karibuni.
Habari ID: 3476993    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/13

Elimu
TEHRAN (IQNA) – Profesa mashuhuri wa masomo ya Kiislamu Wiferd Madelung alifariki dunia tarehe 9 Mei 2023.
Habari ID: 3476986    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Mazingira ni mojawapo ya baraka kubwa zaidi za Mwenyezi Mungu, hata hivyo, wanadamu katika miaka ya hivi karibuni wameshindwa kutunza baraka hii, na wamesababisha madhara kwa neema hii.
Habari ID: 3476968    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/07

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Malaysia ametetea mpango uliopendekezwa wa kuchapisha nakala milioni 1 za Qur'ani Tukufu kwa lengo la kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3476634    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Michoro yenye chuki dhidi ya Uislamu iliyochorwa huko Capljina nchini Bosnia na Herzegovina ilizua taharuki kutoka kwa wakazi Jumamosi huku polisi wakianzisha uchunguzi kuhusu kesi hiyo.
Habari ID: 3476513    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Kongamano
TEHRAN (IQNA) - Mkutano wa kwanza wa kimataifa wa vyombo vya habari na umoja wa Umma wa Kiislamu umefanyika hapa katika mji mkuu wa Iran siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3476487    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30

Misaada kwa jamii
TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi wa Taasisi ya Zakat al-Andalus inayohusiana na Jumuiya ya Hisani ya Al-Najat amesema jumuiya hiyo ya Kuwait imejenga misikiti 30 katika nchi tofauti za Kiislamu na Kiarabu mwaka jana.
Habari ID: 3476355    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Maiti ya M uislamu mmoja ilichomwa moto nchini Ujerumani baada ya hospitali mjini Hannover kuchanganya maiti mbili.
Habari ID: 3476294    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/23

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 18 la kimataifa linalofanyika kwa anuani ya "Uislamu, Uadilifu na Mlingano, Misingi ya Dini na Nidhamu ya Ulimwengu" umeanza rasmi katika mji mkuu wa Russia, Moscow na kufunguliwa kwa salamu za Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3476223    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09