iqna

IQNA

zaria
Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Askari wa Jeshi la Nigeria wameshambulia kumbukuku za maomboleza ya Ashura ya Imam Hussein AS katika mji wa Zaria na kuua shahidi na kujeruhi Waislamu kadhaa.
Habari ID: 3475597    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09

TEHRAN (IQNA)- Leo Waislamu wa Nigeria wanakumbuka mauaji yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3473449    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiliwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky pamoja na mkewe Malama Zinat Ibrahim ambao hali zao za kiafya zinazidi kuwa mbaya siku baada ya siku.
Habari ID: 3473164    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/13

Mwanae Sheikh Zakzaky
TEHRAN (IQNA) - Mtoto wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, serikali ya Rais Buhari imeendelea kufanya vitendo vya ukandamizaji dhidi ya baba yake huyo anayeshikiliwa gerezani.
Habari ID: 3472920    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01

TEHRAN (IQNA) – Washiriki wa mkutano ulioandaliwa kwa njia ya video na Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) wamesisitiza kuwa serikali ya Nigeria inapaswa kuwajibishwa kuhusu mauaji ya mamia ya Waislamu katika hujjuma iliyojiri katika mji wa Zaria kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472910    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/29

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria wanakumbuka mauaji ya umati yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya wafuasi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria katika mji wa Zaria jimboni Kaduna.
Habari ID: 3471770    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/14

Jopo la uchunguzi kuhusu mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu 348 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.
Habari ID: 3470492    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/03

Mahakama ya Nigeria imeunda tuma ya uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu Desemba 2015.
Habari ID: 3470280    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01

Amnesty International
Jeshi la Nigeria liliwaua mamia ya Waislamu nchini Nigeria na kuwazika katika kaburi la umati wakiwemo baadhi waliokuwa hai mwezi Desemba mwaka jana, imefichua Amnesty International.
Habari ID: 3470262    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/22

Maandamano ya kulaani mauaji ya umati ya Waislamu nchini Nigeria yameendelea kushuhudiwa katika pembe mbali mbali za dunia.
Habari ID: 3467081    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/20