iqna

IQNA

kandahar
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Wanazuoni wa Kiislamu wa Madhehebu ya Shia katika jimbo la Herat nchini Afghanistan wameitaka serikali ya Taliban kurejesha kamati za usalama ili kulinda misikiti ya Mashia ambayo inakabilia na tishio la kushambuliwa na magaidi wakufurushaji wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474542    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11

TEHRAN (IQNA)- Hujuma dhidi ya msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wakati wa Sala ya Ijumaa huko Kandahar, Afghanistan imelaaniwa vikali na Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar na Mufti wa Misri.
Habari ID: 3474430    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha magaidi wakufurishaji kuushambulia msikiti wa Bibi Fatima wakati wa Sala ya Ijumaa mjini Kandahar nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474428    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/16

TEHRAN (IQNA)- Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.
Habari ID: 3474426    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kufuatia hujuma ya kigaidi msikitini Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa mamlaka za Kabul kuwaadhibu waliohusika na shambulizi la bomu lililoua makumi ya watu msikitini katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan juzi Ijumaa.
Habari ID: 3474404    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10