iqna

IQNA

dubai
Mashindano ya Qur;ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 27 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai ambayo hujulikana rasmi kama Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) zilifanyika katika mji wa UAE Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478565    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 24 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalihitimishwa katika hafla iliyofanyika mjini Dubai.
Habari ID: 3478252    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalifungwa katika sherehe huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3477637    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23

Utalii wa Kiislamu
DUBAI (IQNA) - Dubai inatazamiwa kuzindia msikiti wa kwanza duniani unaoelea kwa gharama inayokadiriwa ya takriban Dh55 milioni.
Habari ID: 3477633    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/22

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Washindi watatu bora wa Tuzo ya 26 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai waliarifishwa katika hafla iliyofanyika Dubai Jumanne usiku.
Habari ID: 3476821    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/06

Mashidano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 23 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum yameanza leo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3476371    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya washiriki 500 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani yanayoandaliwa na Vituo vya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu vya Maktoum huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475941    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Duru ya Sita ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalihitimishwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3475888    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 6 la Mashindano ya Kimataifa la ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yanaendelea huko Dubai, nchini UAE.
Habari ID: 3475874    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/03

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wasichana litafanyika Oktoba mwaka huu kwa kushirikisha nchi 136 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3475634    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 22 yla shindano la Qur'ani kwa vijana wa kike lilihitimishwa Jumatano huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475000    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/03

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa wapatao 608 huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3474801    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa 115 mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu wamepunguziwa adhabu zao kwa miezi sita hadi miaka 20 baada ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3474734    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wametangazwa.
Habari ID: 3474613    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi takribani 50 wametangaza kuwa tayari kushiriki katika Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3474566    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Msahafu ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi duniani utaonyeshwa katika maonyesho ya Expo 2020 Dubai ambaye yanatazamiwa kuanza mjini humo baadaye mwezi Oktoba.
Habari ID: 3474242    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31

TEHRAN (IQNA) - Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kuanza kukubali maombi ya toleo la 5 la mashindano ya Qur'ani kwa wanawake.
Habari ID: 3474216    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai imewaenzi wachapishaji na wasambazaji Misahafu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3474174    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 24 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473849    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25

TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tisa ya Mashindano ya Qur’ani kwa ajili ya walemavu imeanza Jumamosi mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473828    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/18