iqna

IQNA

ubaguzi
Mahakama kuu huko Massachusetts imeondoa hatia dhidi ya Muislamu Mweusi baada ya kubaini kuwa wakili wake aliyeteuliwa na mahakama alikuwa na historia ya kueneza chuki za ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya Uislamu kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3477177    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/21

Ubaguzi wa rangi
TEHRAN (IQNA) – Kulingana na utafiti mpya, Waislamu na watu weusi au wenye asili ya Afrika wanakabiliwa na viwango vya juu zaidi vya ubaguzi kote Uingereza.
Habari ID: 3475542    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kanisa la Presbyterian nchini Marekani imepitisha azimio la kutangaza Israeli utawala wa ubaguzi au apathaidi.
Habari ID: 3475457    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Soka la Algeria limelaani shambulizi la kibaguzi la hivi majuzi dhidi ya mwanasoka Muislamu raia wa Algeria nchini Ufaransa.
Habari ID: 3474967    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

TEHRAN (IQNA)- Tawi la chama cha pili kwa ukubwa cha wafanyikazi wakubwa nchini Marekani, Shirikisho la Walimu la Marekani (AFT), limelaani utawala ghasibu wa kijeshi wa Israeli na sera zake " ubaguzi wa rangi."
Habari ID: 3474301    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16

TEHRAN (IQNA)- Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa, robo ya Mayahudi wa Marekani wanaamini kuwa Israel ni utawala wa ubaguzi wa rangi.
Habari ID: 3474101    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/15

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Katika matukio ya sasa ya Marekani na harakati ya kupinga ubaguzi wa rangi iliyopo, msimamo wetu thabiti ni wa kuwaunga mkono wananchi na kulaani mwenendo wa kikatili wa utawala wa ubaguzi wa rangi wa nchi hiyo."
Habari ID: 3473011    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29

TEHRAN (IQNA)- Misikiti kadhaa kote katika jimbo la New Jersey nchini Marekani imesema hotuba za Sala ya Ijumaa zitajadili kuhusu madhara ya ubaguzi wa rangi na halikadhalika kuhusu ukatili na jinao zinazotendwa na polisi nchini humo.
Habari ID: 3472837    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/05

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema yanayojiri siku hizi Marekani yameweka wazi ukweli uliokuwa umefichwa nchini humo kuongeza kuwa: "Wamarekani wamefedheheka duniani kutokana na mienendo yao."
Habari ID: 3472830    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/03

TEHRAN (IQNA) - Marekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo dhidi ya raia mweusi.
Habari ID: 3472822    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/01

TEHRAN (IQNA) – Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa asilimia 42 ya Waislamu Ufaransa wanabaguliwa au kubughudhiwa nchini humo.
Habari ID: 3472204    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/07

TEHRAN (IQNA)- Mchezaji soka Msenegali ameashiria aya ya Qur'ani Tukufu kumtetea Kalidou Koulibaly Msenegali mwenzake ambaye ni difenda wa Timu ya Soka ya Napoli katika Ligia ya Italia ambaye amekumbana na matusi ya kibaguzi kutoka kwa mashabiki.
Habari ID: 3471790    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/29

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umelaaniwa vikali kwa kupitisha sheria mpya ya kibaguzi ambayo inatambua Mayahudi kama bora kuliko Waarabu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3471601    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/20

TEHRAN (IQNA)-Wafungwa Waislamu na wale wenye asili ya Afrika ndio wanaodhulumiwa zaidi katika jela za Uingereza.
Habari ID: 3471223    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/20

TEHRAN (IQNA)-Waislamu barani Ulaya wanahisi kuongezeka ubaguzi ambapo wawili kati ya watano (asilimia 40) wakisema wamekumbana na ubaguzi wakati wa kutafuta kazi, nyumba au huduma za umma kama vile elimu an matibabu.
Habari ID: 3471186    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/22

Slovakia imetangaza kuwa itawakubali tu wahajiri Wakristo wakati wa kuwachukua wakimbizi kutoka Syria.
Habari ID: 3350005    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/22

Ubaguzi wa rangi Marekani
Watu 9 wameuawa kwenye shambulizi la kibaguzi dhidi ya kanisa moja la Wamarekani Weusi usiku wa kuamkia leo katika jimbo la Carolina Kusini.
Habari ID: 3315932    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19

Licha ya duru za kimataifa kutoa onyo kali lakini mamlaka za Thailand zinaendelea kuwanyanyasa Waislamu ikiwa ni pamoja na kuwapiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3217763    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/27

Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wameandaa hafla kadhaa kwa mnasaba wa wiki ya kupinga ubaguzi unaotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 2921399    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/03

Kamati ya Kufuta Ubaguzi ya Umoja wa Mataifa imeikosoa serikali ya Brussels kutokana na mwenendo wake wa kinyonga katika kuanzisha taasisi ya kitaifa ya haki za binadamu.
Habari ID: 1380048    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/25