Wanawake Waislamu London wafungamana na waathirika wa ugaidi

TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu mjini London wamekusanyika katika Daraja la Westminster na kuunda mnyororo wa binadamu (human chain) kubainisha kufungamana...
Habari Maalumu
Wenye chuki na Uislamu wavunjia Qur'ani heshima Canada

Wenye chuki na Uislamu wavunjia Qur'ani heshima Canada

TEHRAN (IQNA)-Watu wanaouuchukia Uislamu (Islamophobes) wameandamana na kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu huko Ontario, Canada mapema wiki hii.
25 Mar 2017, 15:50
Mwanariadha Mwanamke Mwislamu amuandikia Trump

Mwanariadha Mwanamke Mwislamu amuandikia Trump

TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu Mmarekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi...
23 Mar 2017, 21:13
Nchi 40 kushiriki mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Misri

Nchi 40 kushiriki mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Misri

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Awqaf Misri imesema nchi 40 zimetangaza kuwa tayari kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
22 Mar 2017, 23:30
Maadui wanailenga Iran kiuchumi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Maadui wanailenga Iran kiuchumi

TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema lengo la adui ni kuliwekea mashinikizo ya kiuchumi taifa la Iran na kwamba maadui wanataka...
21 Mar 2017, 21:20
Nakala za Qur'ani zapasuliwa msikitini Marekani

Nakala za Qur'ani zapasuliwa msikitini Marekani

TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ameuhujumu msikiti nchini Marekani katika jimbo la Arizoni mjini Tucson na kupasua nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu.
18 Mar 2017, 15:53
Mwenye chuki dhidi ya Uislamu ashindwa katika uchaguzi Uholanzi

Mwenye chuki dhidi ya Uislamu ashindwa katika uchaguzi Uholanzi

IQNA:Matokeo ya uchaguzi wa bunge Uholanzi yanaonyesha mwanasiasa mwenye misimamo mikali na chuki dhidi ya Uislamu amepata pigo.
16 Mar 2017, 16:24
Msikiti erevu kufunguliwa Imarati (UAE)

Msikiti erevu kufunguliwa Imarati (UAE)

IQNA-Msikiti erevu (smart mosque) unatazamiwa kuzinduliwa kwa mara ya kwanza katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
15 Mar 2017, 12:01
Mwanamke Mwislamu mwenye Hijabu kukimbia mbio za marathon Boston

Mwanamke Mwislamu mwenye Hijabu kukimbia mbio za marathon Boston

IQNA: Kwa mara ya kwanza katika historia ya mbio maarufu za marathon za Boston, Marekani, mwanamke Mwislamu atashiriki akiwa amevaa Hijabu.
13 Mar 2017, 16:41
Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya Adhana

Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya Adhana

IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia...
12 Mar 2017, 18:12
Mlipuko wa kigaidi karibu na Haram ya Bibi Sakina SA mjini Damascus

Mlipuko wa kigaidi karibu na Haram ya Bibi Sakina SA mjini Damascus

IQNA-Mabomu mawili yamelipuka katika mji mkuu wa Syria Damascus katika eneo lililo karibu na Haram ya Bibi Sakina SA na kupelekea wafanya ziara wasiopungua...
11 Mar 2017, 17:01
Wanajeshi wa Israel wamteka nyara mbunge mwanamke Mpalestina

Wanajeshi wa Israel wamteka nyara mbunge mwanamke Mpalestina

IQNA: Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewateka nyara Wapalestina kadhaa akiwemo mbunge mwanamke katika oparesheni ya Alhamisi.
10 Mar 2017, 10:27
Picha