IQNA

Marekani imekiuka misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA

Marekani imekiuka misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA

TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema Marekani ilikiuka sheria kinyume na misingi na sheria za kimataifa kwa kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
08:59 , 2018 Sep 26
Ijue zaidi nchi ya Kiislamu na tajiri ya Brunei

Ijue zaidi nchi ya Kiislamu na tajiri ya Brunei

Kwa mtazamo wa idadi ya watu, Brunei ni nchi ndogo zaidi ya Kiislamu na iko kusini mashariki mwa bara Asia. Nchi hii ina rekodi kadhaa muhimu ambapo imetajwa kuwa nchi tajiri zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na ni ya tano kwa utajiri mkubwa duniani.
11:33 , 2018 Sep 25
Matembezi ya Siku ya Waislamu yafanyika New York

Matembezi ya Siku ya Waislamu yafanyika New York

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu wameshiriki katika matembezi ya Siku ya Waislamu katika eneo la Manhattana mjini New York nchini Marekani.
08:44 , 2018 Sep 25
Kiongozi wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin Misri afungwa maisha jela

Kiongozi wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin Misri afungwa maisha jela

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na makumi ya wananchama wa kundi hilo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela .
21:55 , 2018 Sep 23
Jinai ya Ahvaz  ni mwendelezo wa njama za tawala vibaraka wa Marekani

Jinai ya Ahvaz ni mwendelezo wa njama za tawala vibaraka wa Marekani

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullha Sayyed Ali Khamenei ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mashahidi wa tukio chungu la hujuma ya kigaidi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran leo asubuhi.
20:59 , 2018 Sep 22
Magaidi wavamiza gwaride katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran

Magaidi wavamiza gwaride katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wanaopata himaya Uingereza na Saudi Arabia wameshambulia gwaride ya kijeshi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran na kuua shahidi watu kadhaa wakiwemo wanawake na watoto.
20:44 , 2018 Sep 22
Watoto Waislamu China watenganishwa na wazazi wao, ukandamizaji wazidi

Watoto Waislamu China watenganishwa na wazazi wao, ukandamizaji wazidi

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa China unawatenganisha watoto Waislamu na wazazi wao ambao wanashikiliwa katika gereza au kambi maalumu za mafunzo ya Kikomunisti.
15:02 , 2018 Sep 21
Mamilioni ya Waislamu waadhimisha Siku ya Ashura, kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS

Mamilioni ya Waislamu waadhimisha Siku ya Ashura, kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS

TEHRAN (IQNA) Mamilioni ya Waislamu, hasa Mashia, wamejitokeza katika maeneo mbali mbali kote duniani kukumbuka tukio chungu la Siku ya Ashura, siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
11:33 , 2018 Sep 20
Marekani inarefusha uwepo wa magaidi wa ISIS nchini Syria

Marekani inarefusha uwepo wa magaidi wa ISIS nchini Syria

TEHRAN (IQNA) Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo inayorefusha uwepo wa baadhi ya mabaki ya magaidi wa ISIS au Daesh katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mashariki mwa Syria.
11:06 , 2018 Sep 20
Maafisa wa polisi wa kike Waislamu Uingereza wapata sare zenye hijabu

Maafisa wa polisi wa kike Waislamu Uingereza wapata sare zenye hijabu

TEHRAN (IQNA)- Polisi katika eneo la West Yorkshire Uingereza wamezindua sare ya maafisa wa kike Waislamu ambayo inazingatia mafundisho ya Kiislamu ya mavazi yaliyo na staha.
16:42 , 2018 Sep 19
Jeshi la Israel laua Wapalestina wawili Ukanda wa Ghaza

Jeshi la Israel laua Wapalestina wawili Ukanda wa Ghaza

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefyatua kombora kuelekea katika uzio wa Ghaza na kuua shahidi Wapalestina wawili na kujeruhi wengine kadhaa.
15:28 , 2018 Sep 18
Mgogoro kuhusu Kanisa Katoliki kunyakua Msikiti wa Kihistoria wa Cordoba Uhispania

Mgogoro kuhusu Kanisa Katoliki kunyakua Msikiti wa Kihistoria wa Cordoba Uhispania

TEHRAN (IQNA)- Mgogoro kuhusu umiliki wa Msikiti Mkuu wa Crodoba nchini Uhispania unaendelea kutokota baada ya kamati iliyoteuliwa na Baraza la Mji wa Cordoba kupinga hatua ya Kanisa Katoloki kuchukua udhibiti wa msikiti huo.
16:18 , 2018 Sep 17
1