TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Syria limeukomboa mji wa Douma; mji wa mwisho huko Ghouta ya Mashariki kuwa chini ya udhibiti wa magaidi wanaopata himaya ya kigeni
2018 Apr 13 , 13:45
TEHRAN (IQNA)- Leo, tarehe 27 Rajab ndiyo siku aliyobaathiwa na kupewa Utume Muhammad Al Mustafa SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu katika njia iliyonyooka ya Uislamu.
2018 Apr 14 , 11:24
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mashambulizi yaliofanywa alfajiri ya leo na nchi za Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria kuwa ni jinai na uhalifu na kusema kuwa: Marais wa Marekani na Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza ni wahalifu waliotenda jinai.
2018 Apr 14 , 23:59
TEHRAN (IQNA)- Tume wa Majeshi ya Kifederali Ujerumani, imetaka Maimamu waajiriwe katika jeshi la nchi hiyo ili kuwahudumia wanajeshi Waislamu.
2018 Mar 18 , 15:51
TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
2018 Mar 23 , 11:35
TEHRAN (IQNA)- Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wameulaumu mtandao maarufu wa kijamii wa Facebook kuwa umehusika kwa uchochezi wa mauaji ya umati dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar.
2018 Mar 13 , 15:58
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya magaidi 19,000 wa ISIS (Daesh) wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, amesema mkuu wa polisi nchini humo.
2018 Mar 15 , 11:55
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ametoa wito kwa wananchi wa Lebanon kutowapigia kura wagombea wanaopata himaya ya Marekani katika uchaguzi ujao wa bunge huku akionya kuwa wanasiasa kama hao wasaliti watakaoikabidhi nchi kwa Marekani.
2018 Feb 25 , 11:32
Bi. Sayeeda Hussain Warsi
TEHRAN (IQNA)-Baadhi ya vyombo vya habari vya Uingereza vina mtazamo hasi kuhusu Uislamu na Waislamu na hali hivi sasa ni mbaya zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2011, amesema mjumbe Muislamu katika Bunge la Malodi la Uingereza Bi. Sayeeda Hussain Warsi
2018 Feb 22 , 14:14
TEHRAN-(IQNA)-Kundi la Kiislamu la GainPeace lenye makao yake katika mji wa Chicago nchini Marekani limezindua kampeni ya mabango yenye kuunga mkono hijabu kama vazi lenye kumpa uwezo mwanamke.
2018 Feb 17 , 12:00
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa upinzani Uingereza Jeremy Corbyn ametembelea misikiti kadhaa siku ya Jumapili na kukosoa vikali chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
2018 Feb 19 , 10:44
TEHRAN (IQNA)- Idara ya kupamabana na misimamo mikali katika Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri imesema wafuasi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wanaorejea katika nchi zao wanapaswa kuadhibiwa kwa ajili ya jinai walizotekeleza.
2018 Feb 13 , 19:47