IQNA

Kikao cha "Qurani na Vijana" katika maonyesho ya Qurani Tehran

19:24 - September 01, 2010
Habari ID: 1985827
Kikao cha "Qurani na Vijana" kitafanyika leo Jumatano usiku katika Maonyesho ya 18 ya Kimataifa ya Qurani Tukufu ya Tehran na kuhudhuriwa na mkuu wa masuala ya Qurani katika Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu.
Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA kikao hicho pia kitahudhuriwa na Hujjatul Islam wal Muslimin Hamid Mohammadi Mkuu wa Kituo cha Kuratibu na Kuhimiza Shughuli za Qurani nchini Iran.
Mada kuu katika kikao hicho itahusu "Qurani na Vijana" ambapo washiriki watajadili namna kuwahusiha vijana na masuala ya Qurani Tukufu.
646491
captcha