IQNA

Msafara wa Qur'ani wa Mapinduzi ya Kiislamu ulifika katika Meli ya Kivita ya Jeshi la Iran katika Ghuba ya Uajemi kwa munasaba wa maadhimisho ya Imam Khomeini MA kurejea Iran baada ya miaka 15 ya uhamishaoni mnamo Februari Mosi 1979.