iqna

IQNA

qurani
TEHRAN (IQNA) – Afisa wa Wizara ya Utamaduni ya Iran anasema malengo ya Maonyesho ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamefikiwa kwa usaidizi wa watu na mashirika.
Habari ID: 3475192    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01

TEHRAN (IQNA)- TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini Algeria imetangaza kuwa fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani nchini humo itafanyika kunazia tarehe 15 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475125    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/14

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiiga mtindo wa marehemu baba yake.
Habari ID: 3474787    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10

TEHRAN (IQNA)- Kitengo cha Kimataifa cha Taasisi ya Darul Qur’an ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Hussein AS inaendeleza harakati zake za Qur’ani Tukufu nchini Mali.
Habari ID: 3474724    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/26

Mufti wa Misri
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesema Fatwa nyingi ambazo hutolewa na wale wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada na ambazo huharibu sura ya Uislamu halisi hutokana na ufahamu mbovu wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474696    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu Misri imetangaza washindi wa Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani yaliyofanyika wiki hii mjini Cairo.
Habari ID: 3474681    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16

TEHRAN (IQNA) Msahafu ulioandikwa zaidi ya miaka 600 iliyopita unaonyesha katika Maktaba ya Nyaraka ya Ziya Bey nchini Uturuki.
Habari ID: 3474565    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

Idhaa ya Qur'ani Tunisia, 'Radio Zaitouna' sasa inamilikiwa na serikali
Habari ID: 3474558    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14

TEHRAN (IQNA)- Kijana mmoja ambaye ni imamu na msomaji Qur'ani nchini Uingereza amepoteza maisha baada ya kudungwa kisu katika eneo la Tower Hamlets mjini London.
Habari ID: 3474534    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA) – 'Wiki ya 23 ya Kitaifa Qur'ani' nchini Algeria imezinduliwa katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3474477    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu (ISBO) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14

TEHRAN (IQNA)- Javad Foroughi, 41, muuguzi katika Hospitali ya Baqiyatullah mjini Tehran amekuwa Muirani wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020.
Habari ID: 3474125    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/25

TEHRAN (IQNA)- Rais Muhamadu Buhari huhudhuria darsa za tafsiri ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473837    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21

TEHRAN (IQNA)- Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao ni mwezi wa rehma, maghfira na kuokolewa kutoka moto. Pia ni mwezi ambao iliteremshwa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473834    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
Habari ID: 3473814    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14

TEHRAN (IQNA) - Somo kuhusu 'Lugha ya Qur'ani Tukufu' litaanza kufunzwa kwa mara ya kwanza kwa wanafunzi wa kugha ya Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Sydney.
Habari ID: 3473588    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/25

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza uamuzi wa kufungua tena vituo vya kufunza Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3473581    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/22

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA) – Shirika moja la kutoa misaada nchini Uturuki limewatunuku watu wa Djibouti nakala za Qur'ani tukufu zipatazo 30,000.
Habari ID: 3473456    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

TEHRAN (IQNA)- Klipu ya Ustadh Abdul-Basit Abdul-Swamad akisoma aya za Sura Ash-Shu’araa katika Qur’ani Tukufu imeseambazwa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473400    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/27