IQNA

Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Vitabu Tehran yanafanyika kuanzia Aprili 24 hadi Mei 4 2019 na kauli mbiu ya maonyesho hayo ni "Kusoma ni Kuweza". Maonyeso hayo yanahudhuriwa na wachapishaji 3,200 wa kigeni na kimataifa na yanafanyika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA mjini Tehran. Picha hizi hapa ni za siku ya nne ya Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu Tehran