IQNA – Kwa kuanzisha akademia ya Qur’ani, madada wawili mjini Pristina, mji mkuu wa Kosovo, wameweza kuwafundisha mamia ya watoto namna ya kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu kupitia miaka yao ya juhudi na bidii.
2026 Jun 01 , 15:14
IQNA – Wengi wanaamini kuwa kurekodiwa kwa Surat Yusuf kulikuwa mgeuko wa kweli katika maisha ya Sheikh al-Sayyid Saeed, na mafanikio hayo makubwa yakamfanya ajipatie umaarufu na hatimaye kunyakua lakabu inayostahiki ya “Sultan al-Qurra” (Mfalme wa Wasomaji Qur’ani).
2026 May 31 , 21:55
IQNA – Sheikh Hajj Muhannad Tayeb, msomi mashuhuri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu nchini Algeria, amerejea kwa Mola wake siku ya Jumamosi.
2026 May 31 , 21:47
IQNA – Video iliyosambazwa mtandaoni ikimuonesha Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, akisoma aya za Qur’ani Tukufu ndani ya Msikiti wa Aya Sofya mjini Istanbul, imepokelewa vyema na watumiaji wa mitandao ya kijamii.
2026 May 31 , 21:37
IQNA – Wizara ya Awqaf (Wakfu) ya Misri imeuhuisha na kuuenzi ukumbusho wa qari marehemu wa Qur’ani Tukufu, Sheikh Sayyid Abdul Shafi Hilal, katika maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.
2026 May 30 , 16:03
IQNA – Taasisi ya Mahd Qur'ani ya Iran imetoa vyeti 1,004 kwa wanafunzi waliokamilisha kuhifadhi sura za Qur'ani Tukufu na kuelewa maana ya aya zake katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo ya mwaka wa sasa wa kalenda ya Kiirani (ulioanza Machi 21).
2025 Sep 29 , 15:08
IQNA – Ahmad Abolqassemi, Qari mashuhuri kutoka Iran, amesisitiza uwezo wa kipekee wa nchi hiyo katika uwanja wa usomaji wa Qur’ani Tukufu, akipendekeza kuandaliwa mashindano mapya ya kipekee ya “fainali ya mabingwa” kwa washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani, yatakayofanyika nchini Iran.
2025 Sep 29 , 13:01
IQNA – Libya imetangaza washindi wa Tuzo ya 13 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu, iliyofikia tamati mjini Benghazi kwa ushiriki wa zaidi ya mataifa 70.
2025 Sep 29 , 12:42
IQNA – Hafla maalum imefanyika katika mji wa Karasu, ulioko kaskazini magharibi mwa Uturuki katika mkoa wa Sakarya, kuwaenzi wasichana 34 waliokamilisha kuhifadhi Qur’ani yote kwa moyo.
2025 Jul 14 , 17:28
IQNA – Katika kumbukumbu ya kifo chake, Kituo cha Fatwa cha Kimataifa cha Al-Azhar kimemuenzi Sheikh Mohammed al-Sayfi, akimtaja mtaalamu na msomi wa Misri aliyeaga dunia kama "Baba wa qaris" na ishara endelevu ya usomaji wa Qur’ani wa asili.
2025 Sep 28 , 15:30
IQNA – Zohreh Qorbani, mama mchanga kutoka Iran, asema kuwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kumemletea mpangilio, utulivu wa moyo, na uwazi wa kiroho katika maisha yake ya kila siku licha ya changamoto anazokumbana nazo.
2025 Jul 13 , 15:30
IQNA – Mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa tarteel kwa watoto yamefanyika mjini Karbala, yakiandaliwa na Jumuiya ya Sayansi za Qur’ani ya Haram ya Hazrat Abbas (AS).
2025 Jul 13 , 15:01