Habari Maalumu
Mashindano haya yatafanyika katika kipengele cha kuhifadhi Qur’an kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka vituo vya mafunzo ya kuhifadhi Qur’an kote Misri.
20 Dec 2025, 14:07
IQNA – Mashirika na taasisi mbalimbali za Kiyemeni yamelaani kitendo cha hivi karibuni cha kudhalilisha Qur’an Tukufu nchini Marekani, na yameunga mkono...
19 Dec 2025, 15:28
IQNA – Mashindano ya kwanza ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’an yenye kauli mbiu “Fa Istamasik: Shikamana na Qur’an” yameanza rasmi nchini Oman.
19 Dec 2025, 15:15
IQNA – Eneo mpya katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, ambalo linatambuliwa kwa ukubwa wake wa kipekee na sifa bainifu za usanifu wa Kiislamu,...
19 Dec 2025, 15:09
IQNA – Jumuiya mashuhuri ya Waislamu nchini Ubelgiji imetangaza kuwa itawasilisha rufaa katika Baraza la Nchi (Council of State), mahakama ya juu kabisa...
19 Dec 2025, 14:37
IQNA – Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imelaani kwa kauli kali na nzito kitendo cha hivi karibuni cha kudhalilishwa kwa Qur'ani...
19 Dec 2025, 14:24
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni...
18 Dec 2025, 22:27
IQNA – Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu kwa Wanafunzi wa Shule kutoka ulimwengu wa Kiislamu yanatarajiwa kufanyika nchini Iran mwanzoni mwa...
18 Dec 2025, 14:56
IQNA – Shule mpya ya Qur’ani imefunguliwa mjini Gaza kwa mchango wa kampeni ya wananchi wa Iran inayojulikana kama “Iran Hamdel” kwa ushirikiano na Taasisi...
17 Dec 2025, 17:41
IQNA – Jumba la kwanza kabisa la Maqari wa Qur’ani limefunguliwa katika Kituo cha Utamaduni na Uislamu cha Misri kilichopo katika Mji Mkuu Mpya wa Utawala...
17 Dec 2025, 17:00
IQNA – Dereva mmoja Mwislamu wa Uber mjini Montreal amenusurika madhara makubwa baada ya abiria kudaiwa kumtishia kwa kisu, tukio ambalo Baraza la Kitaifa...
17 Dec 2025, 17:35
IQNA – Viongozi wa Palestina wamelaani vikali hatua ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuingia kwa nguvu katika katika eneo la Msikiti wa Al‑Aqsa...
17 Dec 2025, 17:08
IQNA – Baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Hazrat Zahra (SA) katika haram ya Imam Ali (AS), uwanja huo unazinduliwa leo.
17 Dec 2025, 16:55
Istighfar katika Qur’ani Tukufu /4
IQNA – Istighfar (kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu) ni jambo lililo na athari nyingi katika maisha ya mwanadamu; katika dunia hii na katika Akhera.
16 Dec 2025, 16:04
IQNA – Shambulio la kigaidi Sydney lililosababisha vifo na majeruhi limezua mijadala mikubwa ya kisiasa na kimtandao, ikiwemo hoja kuhusu namna tukio hili...
16 Dec 2025, 15:53