IQNA

Msikiti mkubwa zaidi barani Ulaya umefunguliwa katika jimbo la Chechnya mjini Shali nchini Russia. Msikiti huo umefunguliwa Ijumaa 23 Agosti.