IQNA

Wananchi waombolezaji katika mji wa Tehran wamefanya maandamano makubwa baada ya Sala ya Ijumaa kufuatia kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani ambapo wamelaani vikali kitendo hicho cha kigaidi huku wakitaka ulipizaji kisasi utekeelzwe dhidi ya wale waliohusika katika ugaidi huo.