IQNA

Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Suleimani na wanajihadi wenzake umeagwa na umati mkubwa wa watu ambao haujawahi kushuhudiwa katika historia ambao wameonyesha shukrani zao kwa kumiminika kuanza Chuo Kikuu cha Tehran hadi Medani ya Azadi katika mji mkuu wa Iran.