IQNA

Kwa mnasaba wa kufa shahidi Bibi Fatima Zahra SA, kunfanyika maonyesho yaliyopewa anuani ya 'Vichochoro vya Bani Hashim' yanafanyika katika mkoa wa Qum, Iran. Tarehe tarehe 3 Mfunguo Tisa Jamad al-Thani ni kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima al-Zahra SA, binti mtukufu wa Mtume wetu Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Twalib AS.