IQNA

Msikiti wa kwanza kabisa katika historia ya Slovenia umefunguliwa Jumatatu katika mji mkuu, Ljubljana baada ya Waisalmu kuvuka vizingiti ya kifedha na upinzani wa watu wenye mismamo mikali ya mrengo wakulia. Msikiti huo umefunguliwa baada ya kupita miaka 50 tokea litolewa ombi la kutaka eneo hilo la ibada lijengwe.