IQNA

Kirusu cha corona kimeenea katika nchi nyingi duniani. Kuvaa maski ni kati ya njia mashuhuri za kukabiliana na kuenea kirusi hicho. Uvaaji maski sasa umechukua sura mpya katika nchi mbali mbali duniani.