IQNA

Qur’ani Tukufu imetaja wazi msimu wa machipuo. Aidha makumi ya aya za Qur’ani Tukufu zinaashiria msimu wa machipuo na athari zake. Msimu wa machipuo hudhihirisha umaridadi wa aina yake katika maeneo yote ya dunia. Picha zifuatazo zinaonyesha tu sehemu ya mandhari za kuvutia za kijani kibichi katika maeneo mbali mbali ya dunia.