IQNA

Katika aghalabu ya nchi za dunia za Nusufute ya Kaskazini ya Dunia (Northern Hemisphere) ni msimu wa machipuo na mimia sasa imenawiri na kuchipua huku miti ikiwa na matawi wa kijani kibichi baada ya kupata uhai mpya. Huku wakiwa waangalifu kuhusu kirusi cha corona, watu wamejitokeza kutazama mandhari ya kuvutia ya machipuo.