IQNA

Kutokana na vizingiti vilivyowekwa ili kuzuia kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19, hafla na mijumuiko ya kidini duniani imechukua mwelekeo mpya ambapo wafuasi wa dini mbali mbali wanatekekelza ibada kwa pamoja kupitia intaneti hasa katika mitandao ya kijamii