IQNA

Mapema asubuhu Jumapili Mei 31 msikiti wa Al-Masjid an-Nabawī katika mji wa Madina na Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) imefunguliwa tena baada ya kufungw kwa takribani miezi miwili ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19. Waumini wataruhusiwa kuingia misikiti hiyo kwa kuzingatia kanuni za afya.