IQNA

Kufuatia mauaji ya kikatiliya George Floyd, Mmarekani mwenye asili ya Afrika ambaye aliuawa na askari mzungu, maandamano makubwa yameshuhudiwa kote Marekani huku kukiendelea mijadala kuhusu ubaguzi wa rangi nchini humo