IQNA

TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) katika mji wa Karbala, Iraq imepambwa kwa maua wakati huu wa kuwadia idi kadhaa za mwezi wa Sha’aban.

Kwa muijibu wa kalenda ya Hijria Qamaria, tarehe 3, 4 na 4 za mwezi wa Sha’aban (sawa na Machi 17, 18 na 19 mwaka huu) zinasadifiana na kukumbuka kuzaliwa Imam Hussein AS, Hadhrat Abbas AS na Imam Sajjad AS kwa taratibu.