IQNA

TEHRAN (IQNA) – Katika siku hizi za mwisho za mwaka 2021 Miladia, Jumba la Makumbusho la Maumbile asilia limeandaa maonyesho ya kila mwaka ya picha bora za wanyama mwaka huu.

Picha zilizohapa ni za ‘Chaguo la Watu’ na zimechaguliwa miongoni mwa picha 50,000 kutoka nchi 95. Mshindi atatangazwa Februari 9, 2022.