IQNA

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Azam, au Masjid-Azam katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran ni mwenyeji wa vikao vya kila siku vya kusoma na kutafsiri Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.